• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WATENDAJI WAKABIDHIWA POS

Posted on: October 12th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imekabidhi mashine za kukatia risiti za ushuru (POS)84 kwa watendaji  huku wakisisitizwa kwenda kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni, taratibu na sheria za ukusanyaji wamapato,

“ nawaelekeza kwenda kufanya kazi kwa uaminifu na uadilifi, kateni ushuru kwa uaminifu zingatieni sheria za ukusanyaji wa mapato, POS zikafanye kazi iliyokusudiwa natarajia kuona mapato ya robo mwaka ijayo yaongezeke zaidi” amesema Mkurugenzi wa Halmashauri Happiness  Msanga


Bi. Happiness Msanga amesema Kwa miezi mitatu iliyopita Halmashauri imekusanya zaidi ya asilimia 30 ya bajeti ya mwaka mzima hivyo kutokana na ongezeko la mashine 84 zaukusanyaji mapato wanatarajia kukusanya zaidi ya asilimia 50 ya makusanyo yanayotarajiwa kwa robo ya pili ya mwaka.


Watendaji waliokabidhiwa vifaa hivyo wameahidi kwenda kufanya kazi kwa umakini na uadilifu, vilevile wamesema  mashine hizo zitasaidia ukusanyaji wa mapato ukilinganisha na hapo awali ambapo mashine zilikuwa chache hivyo kuyafikia maeneo yote ilikuwa ni vigumu kitu kilichokuwa kinasababisha utoroshaji wa mazao.


Aidha Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi amewataka Watendaji wote kufanya kazi zao kwa umakini na uadilifu,pia amewasisitiza Watendaji wote kuhakikisha wanasimamia miradi ya mendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao. Vilevile amewataka watendaji kuitumia mikutano na mikusanyiko mbalimbali inayojitokeza katika vijiji  vyao kukemea Imani  potofu( zakishirikina ) zinazosababisha kutokea mauaji ya watu, wengi wao wakiwa ni wanawake na wazee.




Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.