• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WATENDAJI WASHAURIWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA

Posted on: September 10th, 2021


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Joachim Msanga amewataka Watendaji wa Kata na Vijiji kurudi kwenye msitari ili kufanya kazi kulingana na taratibu, kanuni, sheria na miongozo ya utumishi. Ameyasema haya kwenye kikao kilicholenga Mkurugenzi  huyo kujitambulisha kwa Watendaji na kukumbushana taratibu na miongozo ya kazi, kilichofanyika tarehe 09,Sept 2021 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Ngudu.


Bi. Happiness amewapongeza Watendaji wote wanaotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa taratibu, sheria na kanuni za utumishi wa Umma kisha akawaasa wale wanaofanya kazi kwa mazoea kuacha  haraka tabia hiyo.  


Aidha amewasisitiza uwajibikaji, kushirikiana, upendo, uadilifu na usimamizi mzuri wa miradi inayotekelezwa katika maeneo yao ya kazi pia amewataka kusimamia ukusanyaji wa mapato kwa uaminifu na kujiepusha na ubadhilifu wa aina yoyote ile


    "acheni kufanya kazi kwa mazoea, sitakubali ubadhilifu nikakuchekea nitawachukulia hatua wale wote watakaotaka kwenda kinyume na utaratibu" amesema Bi.Happiness


 Kikao hicho kimehudhuliwa na  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mhe. Theleza Lusangija ambapo  amewashauri watendaji  kusimamia miradi inayotekelezwa katika maeneo yao ya kazi ili inapokamilika iendane na thamani ya fedha zilizotumika  pia amewashauri kufanyakazi kwa upendo na ushirikiano.


Katika kikao hicho Watendaji wa Kata na Vijiji wameomba kupewa motisha pale wanapofanya kazi vizuri, hasa wanapotimiza malengo waliyojiwekea katika mpango kazi wao wa kila mwaka.



Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.