• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

Watoa huduma watakiwa kuzingatia mafunzo ya mifumo ya kielektronikia

Posted on: March 19th, 2018

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kwimba Ndg Stamili  Ndaro amewataka watoa huduma ngazi ya vituo vya kutolea huduma za afya kushiririki mafunzo ya mifumo ya  Kielektronikia kwa umakini wa hali juu ili waweze kusimamia uzalishaji na  uhifadhi sahihi wa taarifa na takwimu   za afya pamoja na taarifa  sahihi za matumizi  ya fedha.

Ndg Ndaro ameyasema hayo wakati wa akifungua mafunzo ya siku sita yaliyowakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo wawakirishi kutoka PS3 makao makuu Dar es salaam, PS3 Mkoa wa Mwanza, TAMISEMI na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto  katika ukumbi wa Chama Cha Walimu (CWT) Ngudu tarehe 19 Machi, 2018.


Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kielektronikia ngazi ya kutolea huduma wakifanya mazoezi kwa vitendo baada ya maelekezo kutoka kwa wawezeshaji.


Akizungumza katika mafunzo hayo  Meneja wa Mradi PS3 Mkoa wa Mwanza Ndg  Perestian Masai amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo ili kuhakikisha kuwa vituo vya kutolea huduma kupitia fedha za ruzuku vinakuwa na mfumo maalum wa kuandaa taarifa za mapato na matumizi, hali ambayo itachangia uwajibikaji na utoaji wa huduma bora kwa wananchi.


Mwezeshaji wa mafunzo ya mifumo mipya kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Nd. Mwita Michael (katikati) akiwaelekeza baadhi ya washiriki namna ya uingizaji taarifa katika mfumo wa DHIS2. 


 Kwa upande wake DKT. Mtengwa D.M Kwa niaba ya Mganga mkuu wa Wilaya amesema mafunzo hayo yatasaidia kuhakikisha  watoa huduma katika vituo vya afya  wanapata ujuzi wa kutosha katika usimamizi wa fedha na kutoa huduma bora kwa wananchi.

 

Mafunzo hayo ya Kielektronikia ni pamoja na DHIS2 (mfumo wa utoaji taarifa za afya), GoTHoMISv3 (mfumo wa utoaji taarifa za ukusanyaji wa mapato ya hospital) na FFARS (mfumo wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha) yanayotolewa na mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (Public Sector System  Strengthening –PS3) kupitia  shirika la Maendeleo ya kimataifa la Marekani USAID.


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.