• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WATOA HUDUMA ZA MAJI WATAKIWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAJI

Posted on: December 14th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Johari Samizi  amewataka watoa huduma za maji vijijini wakishirikiana na watendaji wa vijiji na kata kusimamia utunzaji wa vyanzo vya maji.

Ameyasema hayo  leo tarehe 14, Disemba 2022 kwenye Mkutano Mkuu wa nusu mwaka wa vyombo vya watoa huduma za maji ngazi ya jamii.

“ naelekeza vyanzo vyote vya maji vitunzwe kwa kupanda miti tena viongozi msiruhusu watu kujenga karibu na vyanzo vya maji wafukuzeni wote awe mganga wa jadi, mzee wa mira na watu wengine kama anavunja sheria achukuliwe hatua”  amesema Samizi


Aidha Mkuu huyo amewataka wataalamu wa RUWASA kutatua changamoto zinazopelekea upotevu wa maji kwa asilimia 18 hii imetokana na taarifa waliyoiwasilisha ikionyesha upotevu wa maji asilimia hizo

“ wataalamu tuangalie namna ya kupunguza upotevu wa maji haiwezekani maji yapotee asilia 18 hayo ni maji mengi sana ukizingatia bado kuna maeneo  yanachanga.oto  za  maji, tatueni hilo mkutano ujao hii changamoto isiwepo”  Samizi


Naye Meneja wa RUWASA Wilaya Mhandisi Godliver Gwambasa  amewataka watoa huduma za maji ngazi ya jamii kuutumia mkutano huo kubadirishana uzoefu na kutatua changamoto zinazojitokeza katika jamii na kukumbushana majukumu


“ lengo la mkutano huu nikukumbushana majukumu, kufanya tathmini ya uendeshaji wa miradi ya maji vijijini, kupata taarifa na takwimu za mapato na matumizi  vilevile watoa huduma ya maji wautumie mkutano huu kubadirishana  uzoefu katika kutatua changamoto mbalimbali”


 Wakiwasilisha taarifa za huduma za màji vijijini watoa huduma za maji ( CBWSO) wamesema pamoja na upatikanaji wa maji bado kuna changamoto ya utunzaji wa miundombinu ya maji hali inayopelekea mabomba kupasuka hivyo kuongeza upotevu wa maji.


Wadau wa maji walioshiriki mkutano huo wameshauri utunzaji wa miundombinu ya maji uzingatiwe na utunzaji wa vyanzo vya maji ili kuhakikisha upatikanaji wa maji katika misimu yote yaani masika na kiangazi

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.