• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WATUMISHI WA UMMA WAASWA KUWA WAADILIFU NA WAWAJIBIKAJI

Posted on: April 16th, 2021

Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wameaswa kufanya kazi kwa bidii,uwajibikaji na uadilifu, haya yamejitokeza katika kikao kazi kilichofanyika tarehe 15/04/2021 Shule ya Sekondari  Nyamilama..


Akiongea katika mafunzo hayo Afisa utumishi Ndug.Israel Petro amewataka watumishi wote wa umma kufanya kazi kulingana na kanuni na utaratibu wa utumishi wa umma.Aidha amewataka watumishi wote kujaza OPRAS( fomu maalumu ya kupima mikakati na uwajibikaji wa watumishi) ili kuonyesha mikakati na malengo yao ya utendaji kazi kwa mwaka mzima na amewataka kuhakikisha wanatimiza malengo wanayojiwekea.

Naye Bi.Angera Mulisa Afisa utumishi amewaasa watumishi wote kuwa waadilifu,wawajibikaji,nidhamu na uaminifu katika kazi,amewashauri wahudumu wa  Afya kutoa huduma kwa weredi bila ubaguzi  na kuwa na kauli nzuri kwa wagonjwa.Bi Angera amesisitiza kuwa watumishi wa Umma wanapaswa kuwa watu wa mfano mzuri katika jamii hivyo muonekano wao,tabia zao na matendo yao vyote vinapaswa kuendana na utumishi wa Umma.

Katika mafunzo hayo Ndugu Nyanda Shimiyu amewaelekeza watumishi wote jinsi ya kupata haki zao za Msingi kama likizo na ruhusa na amewashauri kuwa makini wanapojaza fomu mbalimbali zinazohusiana na kazi zao.

Aidha Mwalimu Richard Hangaya Katibu wa Tume ya Waalimu(W) (TSS) amewataka Walimu na Watumishi wengine kuwa wazalendo,watii kwa viongozi wa kazi zao,watii kwa Taifa na amewataka kutoa huduma bora, kila mtu katika nafasi yake ya kazi atimize wajibu wake.

Maafisa hao wamefanya mafunzo hayo kwa watumishi wote wa Wilaya ya Kwimba kwa lengo la kukumbushana wajibu wa kila mtumishi katika eneo lake la kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.