• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WAZAZI WA WANAFUNZI AMBAO BADO HAWAJARIPOTI KIDATO CHA KWANZA KUCHUKULIWA HATUA

Posted on: March 4th, 2022

Wazazi wa wanafunzi ambao hawajaripoti kidato cha kwanza mpaka leo tarehe 4 March, 2022 watakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na jeshi la police.


Haya yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi leo March 4 kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri.


Akiogea katika Mkutano huo Mheshimiwa Samizi amesema


" Hatutawaonea haya wazazi wote ambao kwa utashi wao wameona ni vyema watoto wao wasisome,tutawakamata na kuwachukulia hatua kali"


Mkuu huyo amesema kuwa wanafunzi zaidi ya   1000 bado hawajaripoti kidato cha kwanza hivyo kuanzia tarehe 7 March itafanyika operesheni kubwa ya kuwakamataza wazazi wa wanafunzi hao.


Aidha Mkuu wa Wilaya amewataka Madiwani kushiriki katika usimamizi wa utekelezaji wa miradi inayoendelea katika maeneo yao ya utawala.Amesisitiza kuwa Wilaya ya Kwimba imeshapokea zaidi bilioni 16 kwaajili ya miradi mbalimbali ikiwemo ya Halmashauri  na Taasisi nyingine ikiwemo Wakala wa maji vijijini( RUWASA), VETA,Chuo cha Afya ,Chuo cha michezo na Taasisi nyingine.


Katika baraza hilo Waheshimiwa Madiwani wameunga mkono hoja ya kufatilia wanafunzi kuripoti Shuleni na wameahidi kutoa ushirikiano ili kuhakikisha wanafunzi wote wanapata Elimu.


Akisoma taarifa ya Halmashauri Bi. Happiness Msanga Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba amesema Halmashauri imeshapokea 76% ya bajeti yote  ya mwaka wa fedha, hivyo iko miradi mingi inayotekelezwa ikiwemo ujenzi wa vituo vya Afya na Zahanati, madarasa, Shule mpya mbili,  Nyumba za Waganga,nyumba ya Mkurugenzi,Ujenzi wa Jengo la Halmashauri na miradi mingine.


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.