• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WIKI YA CHANJO YAZINDULIWA

Posted on: April 24th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Ng'wilabuzu Ludigija Leo Aprili 24,2023 amezindua wiki ya chanjo Kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano, chanjo zilizotolewani pamoja na chanjo ya  kuzuia kupooza, kukinga surua, kukinga kuhara na magonjwa mengine.


Uzinduzi huo umefanyika katika Kijiji cha Shirima Kata ya Kikubiji ambapo wazazi wenye watoto  wamefika na kupata chanjo hizo, watoto hao wamepewa chanjo kulingana na umri wa mtoto na kuzingatia aina ya chanjo ambazo mtoto alishapewa.


Watoto wa kike wenye umri wa miaka 14 wamepewa chanjo ya kukinga saratani ya shingo ya kizazi.Pia wazazi wamesisitizwa kuitumia wiki hii kuhakikisha watoto wote wanapata chanjo za magonjwa mbalimbali Ili waweze kuwakinga watoto wao


"tuko kwenye maadhimisho ya wiki ya chanjo na sisi Kwimba tumeamua wiki hii tuiadhimishie Kikubiji lengo  ni kuhakikisha Wananchi wa kata hii wanapata huduma hii maana viongozi wenu waliomba tulete chanjo huku kwenu, niwapongeze wanafunzi  wakike waliokuja kupata chanjo ya saratani, ugonjwa wa saratani ni hatari sana kwahiyo lengo la chanjo hii nikuwakinga watoto wetu na magonjwa yanayoweza kuzuilika" Ludigija


Mkuu huyo amesisitiza kuwa chanjo hizo ni salama hivyo Wananchi wasione shaka kuwaleta watoto kupata chanjo


Katika uzinduzi huo ameshiriki Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Thereza Lusanga ambaye amewahimiza wanawake wajawazito kuhakikisha wanajifungua katika vituo vya Afya

"nawapongeza Sana kwa mwitikio wenu wa kuwaleta watoto kupata chanjo pia niwashauri  wanawake wajawazito msijifungulie nyumbani hakikisheni mnafika kwenye huduma za Afya Ili muokoe maisha yenu na watoto"


Aidha Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi  Mhe. Shija Malando ameitumia nafasi hiyo kuwaeleza Wananchi miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Kata hiyo "kazi yetu Chama ni kufuatilia na kuikumbusha Serikali kwa mfano hapa Kikubiji mmepata fedha za ujenzi wa kituo cha Afya millioni 500, mmejenga madarasa, barabara zimeboreshwa haya yote ni matokeo ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"  Malando


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amewapongeza wananchi wote waliowaleta watoto kupata chanjo hizo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.