• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ZAHANATI YA SANGU YAZINDULIWA

Posted on: April 24th, 2023



Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija amezindua huduma za Afya katika Zahanati ya Sangu katika Kijiji cha Sangu Kata ya Mhande.Uzinduzi huo umefanyika Leo April 24,2023


Akizindua Zahanati hiyo Mkuu wa Wilaya amewataka Wananchi kuhakikisha wanatunza miundombinu ya Zahanati hiyo Ili iweze kufanya kazi na kudumu Kwa muda mrefu,pia amewashauri Wananchi hasa wanawake wajawazito kuhakikisha wanatumia Zahanati kupata kuhuma za kiafya


"niwasihi Wananchi inawezekana mmesubiri kwa muda mrefu kupata Zahanati hii sasa mmepata itumieni vizuri,wataalam wa Afya wapo, niwaombe mtoe ushirikiano Kwa wataalam waafya na Sasa wanawake hatutarajii kusikia wanajifugulia nyumbani,  maana huduma imesogezwa karibu vilevile acheni kutumia dawa za mitishamba mkiwa wajawazito maana ni hatari Kwa mtoto aliyeko tumboni" Ludigija


Aidha Mkuu wa Wilaya amewataka Wananchi kuendelea kujikinga na malaria Kwa kuhakikisha wanalala kwenye chandarua " tumegawa vyandarua 12,0000 Ili kuhakikisha tunawakinga hasa watoto na ugonjwa wa malaria, ugonjwa huu ni hatari sana umeendelea kusababisha Vifo kwahiyo tunahimiza wananchi mtumie vyandarua Ili kujikinga, lengo la Serikali ni kuhakikisha angalau asilimia 80 ya Wananchi wanalala kwenye chandarua"


Mkuu huyo amekemea tabia ya baadhi ya Wananchi wanaotumia mavuno yao vibaya na hivyo kusababisha njaa kwenye familia, amewataka wenye tabia hiyo kuacha mara moja na watakaobainika watachukuliwa hatua " usiumize familia yako kwa kuchukua mazao na kwenda kunywea pombe au kufanya mambo ambayo hayana faida Kwa familia"


Mkurugenzi wa Halmashauri Bi. Happiness Msanga amewapongeza wananchi kwa kuanzisha ujenzi wa jengo hilo ambalo Wananchi walianzisha na Serikali ikakamilisha, vilevile amewahakikishia Wananchi kuwa huduma zitakazotolewa katika Zahanati hiyo zitakuwa bora kwasababu kuna wataalamu watatu ambao wameshapangiwa kufanya kazi hapo.


Nao Wananchi wameishukuru Serikali kwa kukamilisha Zahanati hiyo " tunamshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunamshukuru Mkuu wa Wilaya na viongozi wote kutukamilishia Zahanati yetu tulisubiri Kwa muda mrefu Sana  hatimaye leo tunaanza kupata huduma hapa karibu" Anton

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • MKUTANO WA KUELEZEA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU March 18, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2022/23

    May 19, 2023
  • MKUU WA WILAYA YA MBOZI MHE. ESTER MAHAWE AKIAMBATANA NA KAMATI YA FEDHA WAMEFANYA ZIARA WILAYANI KWIMBA

    May 16, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • DC LUDIGIJA AZINDUA ZAHANATI YA NYAMATALA NA KUFUNGUA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA ISUNGA

    May 08, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.