• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ZAIDI YA BILION 20 ZAPOKELEWA NDANI YA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA

Posted on: March 29th, 2022

Akiwasilisha taarifa ya miradi mbalimbali iliyokamilika na inayoendelea kutekelezwa ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wa Rais wa Awamu ya sita  Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi amesema zaidi ya bilioni 20 zimepokelewa kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali.Taarifa hiyo imewasilishwa leo tarehe 29 Machi, 2022 katika Ukumbi wa Chuo cha Michezo Malya.


Miradi inayotekelezwa ni ujenzi wa Shule mpya mbili, ujenzi wa madarasa na ukamilishaji wa madarasa na maabara. Miradi mingine ni ujenzi wa Vituo vya afya vinne, ukamilishaji wa Zahanati nne, ununuzi wa vifaa tiva na ujenzi wa Jengo la dharura na jengo la upaasuaji katika hospitali ya Wilaya.



Mheshimiwa Samizi amisisitiza kuwa Mheshimiwa Rais amefanya kazi kubwa kwani ameleta fedha nyingi kwenye Taasisi mbalimbali ikiwemo TARURA ambapo miradi ya barabara na madaraja inaendelea kutekelezwa huku RUWASA wakiendelea kuongeza mtandao wa maji na ujenzi wa matangi maeneo mbalimbali,nao  Tanesco wameendelea  kusambaza Umeme vijijini, Chuo cha Afya Ngudu kikikarabatiwa  ,Ujenzi wa Chuo cha VETA ukielekea kukamilika na Chuo cha Michezo Malya ujenzi wa Hostel na jengo la michezo ukiendelea kutekelezwa.


" miradi inayotekelezwa ni mingi sana kwahiyo hatunabudi kumshukuru Mama Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwasababu anaupiga mwingi Kwimba" amesema Samizi




Katika Hafla hiyo Wananchi wamemshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwajali na kuwaongezea miundombinu ya Elimu, Afya na maji


"ninamshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kwakutuletea fedha za miradi hasa ile ya elimu, Afya na maji maana kunamaeneo mengine maji yalikuwa hayajafika lakini sasahivi watu wengi wanatumia maji ya ziwa tunashukuru sana"  amesema Milembe Nyanda


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.