• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ZAIDI YA BILIONI NNE ZAPOKELEWA KWAAJILI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: November 9th, 2022


Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imepokea bilioni 4.9 kwaajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo,ikiwa ni pamoja  na miradi ya Elimu na Afya.

Akiwasilisha taarifa ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/23 kwenye baraza la Madiwani, lililofanyika leo tarehe 9, Novemba 2022 kwenye ukumbi wa Halmashauri, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amesema


“ Halmashauri imepokea bilioni 4.9 za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambapo bilioni 2.24 ni za ujenzi wa madarasa 112 katika Shule za Sekondari, bilioni 2.5 ni fedha za ujenzi wa nyumba za waganga na ununuzi wa vifaa tiba vya Hospitali ya Wilaya na Vituo vya Afya vinne pamoja na ukamilishaji wa zahanati”


Katika baraza hilo weheshimiwa Madiwani wameelekezwa kusimamia ukusanyaji wa mapato katika kata zao ili kuongeza mapato ya ndani ya  Halmashauri

“ Madiwani kasimamieni  mapato, hayo mapato ndiyo yanayosaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa mapato ya ndani, diwani hujishirikishi kukusanya mapato lakini unataka posho iongezwe, unataka utekeleze miradi kwenye kata yako haya yote hayawezi kufanyika bila kukusanya mapato” amesema DC Samizi


Mkuu huyo wa Wilaya amesisitiza kuimarisha ulinzi na usalama kwa Wananchi, amesema  hilo kufatia tukio lililotokea wiki iliyopita la mauaji ya Albino katika kijiji cha Ngula


“ inasikitisha sana kuona mtu ameuwawa kwa kukatwa mapanga na watu  wakaondoka na mkono hii hali ni mbaya sana, nawaelekeza Madiwani mkaboreshe ulinzi,shirikianeni na jeshi la Sungusungu kuimarisha ulinzi, hakikisheni kila mtu anakuwa mlinzi wa mwenzake” amesema Samizi



Madiwani walioshiriki baraza hilo wameahidi kwenda kufanya kazi zao ikiwa ni pamoja na kusimamia ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo

“ Mimi ni miongoni mwa madiwani walionufaika maana katika kata yangu tumeookea  milioni 250 kwaajili ya ujenzi wa Shule ya msingi mpya ya Mwaluleho" àmesema Stephano Cheyo Diwani Kata ya Bupamwa


Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI

    May 18, 2025
  • WAUGUZI WATAKIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

    May 12, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEIMOSI YAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

    May 01, 2025
  • MKURUGENZI AWATAKA WATUMISHI WOTE KUFANYA KAZI KWA UPENDO NA UADILIFU

    April 28, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.