• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ZAIDI YA WANANCHI 3000 KUNUFAIKA NA ZAHANATI YA MWANG'OMBE

Posted on: November 11th, 2023


Wananchi wa Kijiji cha Mwang'ombe Kata ya Hungumalwa wanatarajia kunufaika na huduma za Afya zilizoanza kupatikana Leo November 11,2023 baada ya Zahanati hiyo kufunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija.


Akifungua Zahanati hiyo Mheshimiwa Ludigija amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa kuleta fedha milioni 50 kwaajili ya kukamilisha jengo hilo la Zahanati.


Aidha Ludigija amewapongeza Wananchi wa Kijiji kwa kuanzisha ujenzi wa Zahanati hiyo Kwa nguvu zao pia amewashauri kuitunza miundombinu ya mradi huo ili uweze kuwahudumia kama ilivyokusudiwa.


Mkuu huyo amewasisitiza wananchi wote hasa wanawake wajawazito kuitumia zahanati hiyo kupata kuduma za kliniki na kujifungua " wanawake wajawazito hakikisheni mnahudhuria kliniki na kujifungua hapa Zahanati ili kujiepusha na  vifo vinavyotokea kwa wale wanaojifungulia nyumbani" Ludigija


Akiwasilisha taarifa fupi ya mradi huo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Bi. Happiness Msanga amesema  Zahanati hiyo imejengwa kwa milioni 60.3  ambapo Wananchi walijenga boma Kwa milioni Saba,Mbunge wa Jimbo la Kwimba  na wadau na Halmashauri nao walichangia huku Serikali kuu ikitoa milioni 50 kwaajili ya ukamilishaji.


Wananchi wa Kijiji hicho wamemshukuru Rais kwa kuwajengea Zahanati hiyo " tunamshukuru Rais kwa kutujengea hii Zahanati, tulikuwa tunatembea umbali mrefu kupata huduma za Afya sasa tutahudumiwa hapa karibu" Leokadia John

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANAFUNZI WAHIMIZWA KUSOMA KWA BIDII

    March 21, 2025
  • MKUU WA WILAYA AHIMIZA USAWA WA KIJINSIA NA UWAJIBIKAJI

    March 06, 2025
  • WATENDAJI WATAKIWA KUONGEZA JUHUDI ZA UKUSANYAJI MAPATO

    February 27, 2025
  • KWIMBA YATOA MILIONI 607 KWA VIKUNDI 37 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WALEMAVU

    February 21, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.