• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

ZIARA YA MAFUNZO MIKUMI

Posted on: August 28th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imeendelea kuwapatia motisha watumishi wanaofanya vizuri katika majukumu yao ya kila siku, katika kudhihirisha hilo Halmashauri imewapeleka Mbuga ya wanyama ya Mikumi Walimu wote ambao masomo yao yamefanya vizuri kwenye mitihani ya Taifa.


Walimu hao wakiwa wameambatana na baadhi ya wataalamu kutoka Halmashauri wametembelea Mbuga ya wanyama ya Mikumi kwaajili ya kufanya ziara ya mafunzo.


Katika ziara hiyo ameshiriki Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Bi. Happiness Msanga ambao wamewashauri Walimu wote kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili  matokea yajayo yawe mazuri zaidi


" Endeleeni kufanya kazi kwa bidii fundisheni inavyotakiwa,  najua mwaka huu hasa matokeo ya kidato cha sita mmefanya vizuri sana  maana Sumve  kupata nafasi ya nane Kitaifa siyo jambo dogo lakini ongezeni juhudi zaidi Ili Shule nyingi ziingie kwenye kumi bora Kitaifa siyo Sumve tu" Ludigija


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri amesema Halmashauri inaedelea kuwasisitiza watumishi wote kufanya kazi kwa bidii " fanyeni kazi kila mtu kwa nafasi yake aonyeshe matokeo chanya, wanaofanya vizuri tutaendelea kuwapatia motisha za aina mbalimbali"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 26, 2023
  • AJIRA MPYA June 08, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA NAFASI ZA AJIRA YA VEO May 20, 2022
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA YA WILAYA YAKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 19, 2023
  • DC AKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    September 14, 2023
  • VODACOM WAKABIDHI MATUNDU 14 YA VYOO SHULE YA MSINGI MWALUJO

    September 08, 2023
  • ZIARA YA MAFUNZO MIKUMI

    August 28, 2023
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.