English
Swahili
Mawasiliano
|
Maswali ya Mara kwa Mara
|
Barua Pepe
|
Malalamiko
|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba
Toggle navigation
Mwanzo
Kuhusu Sisi
Historia
Dira na Dhamira
Orodha ya viongozi
Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
Orodha ya waheshimiwa Madiwani
Orodha ya wakurugenzi
Muundo wa Halmashauri
Utawala
Muundo wa Utawala
Idara
Utumishi na Utawala
Fedha na Biashara
Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
Mifugo na Uvuvi
Ardhi na Maliasili
Maendeleo ya Jamii
Mazingira na Usafi
Afya na Ustawi wa Jamii
Elimu Msingi
Elimu Sekondari
Maji
Ujenzi
Vitengo
Sheria
Ugavi
Uchaguzi
Nyuki
TEHAMA
Ukaguzi wa Ndani
Huduma Zetu
Maji
Afya
Elimu
Elimu
Mkataba wa Hduma kwa Mteja
Kituo cha Habari
Hotuba
Picha
Video
Habari
Machapisho
Fomu
Investment Opportunity
Miradi
Miradi inayoendelea
Miradi iliyokamilika
Kitengo cha Tehama
Kitengo Cha Tehama Na Uhusiano
Kazi za Kitengo
Kitengo kitasimamiwa na Mkuu wa Kitengo ambaye ataratibu na kusimamia shughuli zote za TEHAMA na Uhusiano katika Halmashauri.
Eneo la Tehama
Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa;
Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA;
Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programmu mbalimbali;
Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA;
Kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kutumika;
Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kielekroniki katika Halmashauri;
Kuhakikisha miundombinu kiambo (
Local Area Network
) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana;
Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri;
Kutengeneza utaratibu mzuri wa kutunza taarifa na
data
ili ziweze kutumika wakati wa majanga;
Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA;
Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho;
Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo;
Kutoa
specification
za vifaa kwa ajili ya manunuzi;
Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutimika; na
Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inapatikana wakati wote.
Eneo la Uhusiano
Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa kazi za Uhusiano;
Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za Uhusiano katika Halmashauri;
Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri;
Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio na majarida;
Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na
District Profile
;
Kuandaa na kutoa majarida kuhusu Halmashauri;
Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri;
Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii;
Kusimamia
press briefing
za Halmashauri;
Kushauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbalimbali; na
Kushirikiana kwa karibu na afisa uhusiano wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilisha uzoefu na kujengeana uwezo.
Matangazo
TANGAZO KWA WASTAAFU WA WILAYA YA KWIMBA
January 08, 2021
Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Kukagua na Kuhamasisha Miradi ya Maendeleo Katika Tarafa ya Mwamashimba kuanzia Tarehe 12-14/06/2019
June 12, 2019
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA BVR KIT OPERATOR NA Waandikishaji Wasaidizi.
August 11, 2019
MATOKEO YA DARASA LASABA/ WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 (KWIMBA)
December 07, 2019
Onyesha zote
Habari Mpya
MHE.KUNDO AAHIDI KUTOKOMEZA TATIZO LA UPATIKANAJI WA MTANDAO KATA YA BUGANDO
January 08, 2021
MAANDALIZI YA KUPOKEA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA YAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 80.
December 03, 2020
MAAFISA UGANI WAPATA MAFUNZO YA KILIMO CHA KOROSHO
December 22, 2020
DC ANG'AKA AWATAKA WATUMISHI WASIOTAYARI KUFANYA KAZI WAJIONDOE KWENYE UTUMISHI.
December 16, 2020
Onyesha zote