• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

WATAKAOKAMATWA WANATOROSHA CHOROKO HATUA KALI ZITACHUKULIWA DHIDI YAO IKIWEMO KUTAIFISHWA CHOROKO 'DC KWIMBA'

Posted on: February 3rd, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Senyi Simon Ngaga amefanya kikao na wafanyabiashara wa Choroko leo tarehe 03/02/2021 na kuwataka kufanya biashara hiyo kwa kuzingatia utaratibu na sheria zilizowekwa na Serikali.

Mkuu wa Wilaya amefanya kikao hicho ili kuwapa maelekezo ya Serikali kuhusu uuzaji wa choroko, amesisitiza kuwa Serikali imeamua kuweka utaratibu wa kuuza Choroko kwa njia ya mnada chini ya vyama vya ushirika (AMCOS) ili kuweza kuwanufaisha wakulima wa zao hilo.Vilevile amewashauri wafanyabiashara hao kufuata utaratibu huo wakati mapendekezo yao yakipelekwa ngazi za juu. 

Amesisitiza kuwa kikao hicho hakikuwa cha kubadirisha utaratibu wowote wa Serikali  hivyo watakaokiuka utaratibu huo watachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kutaifishwa mzigo utakaokamatwa,amesema "sitabadirisha utaratibu wa Serikali Choroko zitaendelea kuuzwa kwa mnada chini ya vyama vya ushirika na tutakayemkamata anatorosha Choroko tutamchukulia hatua kali ikiwemo kutaifishwa mzigo utakaokamatwa"


Wafanyabiashara waliohudhuria kikao hicho wameomba maoni yao yafanyiwe kazi ili waweze kuruhusiwa kufanya biashara hiyo kwa utashi waliouzoea, wamesema wako tayari kulipa ushuru wote wa Halmashauri na AMCOS ila tu waruhusiwe kuuza Choroko mahali wanapotaka wao bila kuhusisha mnada na  vyama vya ushirika.


Matangazo

  • TAARIFA HII SIYO SAHIHI IPUUZWE February 12, 2021
  • Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Kukagua na Kuhamasisha Miradi ya Maendeleo Katika Tarafa ya Mwamashimba kuanzia Tarehe 12-14/06/2019 June 12, 2019
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA BVR KIT OPERATOR NA Waandikishaji Wasaidizi. August 11, 2019
  • MATOKEO YA DARASA LASABA/ WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2020 (KWIMBA) December 07, 2019
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WANUFAIKA WA TASAF WASHAURIWA KUTUMIA FEDHA KWA MALENGO YALIYOKUSUDIWA

    February 22, 2021
  • WALIOKUWA WAHANGA WA FISTULA WASHUHUDIA JINSI WALIVYOTIBIWA BURE

    February 26, 2021
  • BARAZA LA MADIWANI LAAZIMIA KUIGAWA HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA ILI KUPATA HALMASHAURI NYINGINE MPYA

    February 19, 2021
  • YALIYOJILI BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI KWIMBA

    February 12, 2021
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.