MKURUGENZI MTENDAJI WA WILAYA YA KWIMBA NA AFISA UCHAGUZI (W)I WANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA JIMBO LA KWIMBA NA SUMVE KUWA KUTAKUA NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WA MWAKA 2019. UANDIKISHAJI UTAANZA TAREHE 08/10/2019 HADI TAREHE 14/10/2019 KWENYE VITONGOJI VYOTE 871 VYA WILAYA YA KWIMBA.
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.