Wednesday 30th, April 2025
@Uwanja wa Ofisi ya Kijiji cha Mwamakoye
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba itaadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika Tarehe 16 Juni,2017 katika Uwanja wa Ofisi ya Kijiji cha Mwamakoye kuanzai saa 2:00 Asubuhi. Maadhimisho hayo ni Kumbukumbu ya Mauwaji Kinyama ya Watoto nchini Afrika Kusini.
Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo ni Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhandisi Mtemi Msafiri Simeoni
Kauli Mbiu ya Mwaka Ikiwa; Maendeleo Endelevu 2030, Imarisha Urinzi na Fikra Sawa kwa Watoto.
Wote Mnakaribishwa
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.