• Mawasiliano |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kwimba District Council
Kwimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Orodha ya viongozi
      • Orodha ya wenyeviti wa Halmashauri
      • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Orodha ya wakurugenzi
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira na Usafi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Kitengo cha Taka na Usafi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Utamaduni, Michezo na Sanaa
      • Kitengo cha Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • TEHAMA
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
      • Elimu
    • Elimu
    • Mkataba wa Hduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Picha
    • Video
    • Habari
  • Machapisho
    • Fomu
  • Investment Opportunity
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika

MKUU WA MKOA WA MWANZA AFANYA ZIARA KWIMBA

Posted on: August 5th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Kigoma Malima amefanya ziara Wilayani Kwimba leo tarehe 5,Agosti 2022. Katika ziara hiyo Mkuu wa Mkoa amejitambulisha na kutoa maelekezo kwa viongozi wa Wilaya na Halmashauri

 “Kwenye uongozi wangu sitaki miradi ichelewe kukamilika, miradi ya maji ikamilike kwa wakati maana ikichelewa kukamilika anayelaumiwa ni Rais siyo watendaji. Tengenezeni  mikakati itakayowawezesha watu wa Kwimba kupata  maji”


Aidha amesisitiza asilimia kumi ya vijana,wanawake na Watu wenye ulemavu itolewe kama ilivyokusudiwa kutokana na mapato ya Halmashauri.

Mkuu huyo Amemtaka mganga Mkuu wa Wilaya kufanya tathimini ili  kuhakikisha Hospitali ya Wilaya inaanza kutoa huduma  zote zinazopatikana kwenye hospitali ya Wilaya,” naomba muangalie uwezekano wa kupeleka huduma zote za Afya huko kwenye Hospitali ya Wilaya”


Aidha Mheshimiwa Malima amempongeza Afisa Kilimo wa Wilaya ya Kwimba Mhandisi Magreth Kavalo  kwa kusimamia uzalishaji wa mazao hasa ya Pamba na mazao mengine, pia amemuelekeza Afisa huyo kutengeneza mikakati itakayoongeza tija kwa Mkulima wa Pamba,dengu na mazao mengine

“ kazi kubwa inayofanyika Kwimba ni kilimo kwahiyo nikuelekeze kuweka mikakati itakayoongeza tija kwenye kilimo”

 Ameshauli zao la mkonge lihamasishwe kwa Wananchi ili waone umuhimu wa kulima zao hilo kwani linafaida kubwa likianza kuvunwa ni miaka 12 mfululizo mkulima atavuna, pia ameahidi kusaidia upatikanaji wa mbegu za mkonge ili zitumike kulima shamba la mfano.


Akihitimisha kikao hicho amewaelekeza viongozi wote kufanya kazi kwa  upendo,ushirikiano na umoja ili kuhakikisha malengo ya kutoa huduma kwa wananchi yanatekelezwa.


Katika ziara hiyo ameshiriki  Katibu  tawala  Ndugu Baranja Mayuganya Elikana  ambaye amewataka viongozi kufanya kazi  ili kutimiza malengo ya Serikali


Naye Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Johari Mussa Samizi akisoma taarifa amesema Wilaya ya Kwimba inaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo miradi ya kilimo,Elimu,Afya,maji,Umeme,Barabara na miradi mingine.Aidha amesisitiza kuwa maandalizi ya Sensa yanaendelea na elimu inaendelea kutolewa kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MNADA April 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 07, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI February 20, 2025
  • TAHADHARI YA KIPINDUPINDU September 12, 2024
  • Onyesha zote

Habari Mpya

  • WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI

    May 18, 2025
  • WAUGUZI WATAKIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

    May 12, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEIMOSI YAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

    May 01, 2025
  • MKURUGENZI AWATAKA WATUMISHI WOTE KUFANYA KAZI KWA UPENDO NA UADILIFU

    April 28, 2025
  • Onyesha zote

Video

ZIARA YA MHESHIMIWA DC TARAFA YA MWAMASHIMBA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2016
  • Orodha ya watumishi wenye vyeti vya kugushi
  • Orodha ya Madaktari waliojariwa April 2017
  • Ajira mpya za walimu wa Hisabati na Sayansi 2016/2017
  • Matokeo ya Kumaliza Kidato cha Sita na Ualimu 2017

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ofisi ya Rais Tamisemi
  • Tovuti ya ofisi ya Rais utumishi wa umma
  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza
  • Tovuti ya ofisi ya Rais Ikulu
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Tume ya Maadili

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Ramani ya Eneo

Mawasiliano

    Ngudu-Kwimba

    Sanduku la Posta: P.O.BOX 88

    Namba ya Simu: 0732 980528

    Simu ya Kiganjani: 0732980528

    Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma zetu

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.