Maafisa waandikishaji ngazi ya Kata za majimbo ya Kwimba na Sumve wamepatiwa mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika ukumbi wa Halmashauri. Mafunzo hayo yametolewa na maafisa waandkishaji wasaidizi ngazi ya jimbo wakishirikiana na Afisa mwandkishaji wa Jimbo la Kwimba na Sumve.
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.