Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija amezindua utoaji dawa za kichocho na minyoo kwa watoto wenye umri wa kuanzia miaka 5 hadi 14, amewashauri Wananchi wote kuhakikisha watoto wao wanapata hizo dawa
" dawa hizi nisalama na nimuhimu kwa watoto wetu ukizingatia kuwa tuko katika kipindi cha masika ambapo magonjwa ya mlipuko ni mengi kwahiyo tuwakinge watoto wetu kwa kuwapatia dawa hizi". amesema Ludigija
Dawa hizo zitatolewa kwa siku mbili kuanzia leo Novemba 23 hadi 24,2023 ambapo maeneo ya kutolea dawa ni Shule zote za msingi.
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.