Kamati ya uchumi ilifanya ziara katika mnada wa Hungumalwa na kugundua wafanya biashara wa mahindi wanatumia vifaa visivyo sahihi kupimia nafaka .Katika ziara hiyo waheshimiwa madiwani waliwataka wafanyabiashara hao watumie vifaa sahihi vya kupimia nafaka na sio kuwaibia wananchi kwa kutumia vindoo vidogo ( sadolin) ambavyo haviendani na bei ya nafaka hizo.
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.