Walimu wakuu,waratibu elimu na watendaji wa kata na vijiji watakiwa kutoa maelezo kwa nini shule zao zimekua za mwisho kiwilaya katika matokeo ya darasa lasaba 2019,haya yamejikeza katika kikao cha wadau wa elimu kilichofanyika 22/10/2019 kwenye ukumbi wa shule ya sekondari Ngudu.Aidha katika kikao hicho Mkuu wa wilaya Mhe:Senyi Saimon Ngaga amewataka walimu wakuu kusema hadharani kama hawatoshi katika nafasi zao ili wawekwe watu wengine.
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.