Katika ziara Mhe:Jumaa Aweso akiwa ameambatana na Naibu katibu mkuu Eng. Othman Sanga wameweza kutembelea miradi mbalimbali ya maji ikiwemo ujenzi wa tanki la maji Izizimba A, hapo akatatua changamoto ya upungufu wa mabomba ya kusambazia maji kwa kuwasiliana na mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza mabomba hayo ili ndani ya wiki moja mabomba yafike na kazi iendelee.Aidha katika ziara hiyo wameweza kutembelea mradi wa ujenzi wa tanki la maji la lita milion 2 Ngudu,na kukagua (pump house ya Isunga).Mhe Aweso amewataka viongozi kuacha kufanya kazi kwa mazoea .
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.