Siku ya Jumatano tarehe 23 Mei, 2018 kuanzia saa 4:00 asubuhi kutakua na mkutano wa Baraza la Madiwani kwa ajili ya kupitia na kujadili taarifa za robo ya tatu (Januari - Machi 2017/2018 ) katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.Kwa taarifa zaidi bonyeza >>>>>>>>taarifa kwa Umma mkutano baraza la madiwani.docx
Ngudu-Kwimba
Sanduku la Posta: P.O.BOX 88
Namba ya Simu: 0732 980528
Simu ya Kiganjani: 0732980528
Barua Pepe: ded@kwimbadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.