Posted on: February 11th, 2020
Lishe bora kwa watoto na wanawake wajawazito itasaidia kupunguza udumavu wa watoto, haya yamesemwa na muwakilishi wa shirika la mtoto mwelevu, katika kikao cha kamati ya lishe kilichofanyika tarehe 11...
Posted on: February 3rd, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imenunua shamba la miti lenye ukubwa wa mita za ujazo 100 huko Buhindi Wilayani Buchosa kwa ajili ya kukata magogo na kuchana mbao za kutengenezea madawati yasiyopungua...
Posted on: January 23rd, 2020
Madiwani washauriana kufanya kazi kwa bidii ya kukamilisha miradi mbalimbali katika kata zao kwa kipindi kilichobaki kabla ya uchaguzi, haya yamejitokeza katika baraza la madiwani lililofanyika tarehe...