Posted on: December 22nd, 2020
Taasisi ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) imefanya mafunzo kwa Maafisa ugani wa WIlaya ya Kwimba yanayohusu mbinu bora za kilimo cha Korosho,mafunzo hayo yamefanyika tarehe 21/12/2020 kwenye ...
Posted on: December 16th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Senyi S.Ngaga amewataka watumishi wasioweza kufanya kazi kwa kasi ya awamu ya tano wajiondoe kwenye Utumishi ili wawekwe watu waliotayari kufanya kazi,DC ameyasema hayo kw...
Posted on: December 2nd, 2020
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wameapishwa leo tarehe 02/12/2020, Hafla hii imefanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba.Katika Hafla hii Mkuu wa Wilaya ya Kwim...