Posted on: November 25th, 2025
Kampuni ya H.K imetoa pikipiki 12 kwa watendaji ili kusaidia katika shughuli za maendeleo ya kilimo cha zao la pamba
Akikabidhi pikipiki hizo Katibu Tawala ndugu Mohamed Ngasinda amewataka kwe...
Posted on: November 24th, 2025
Mkuu wa Idara ya Utawala Bi. Jane Mallongo amewataka watumishi kuzingatia taratibu,sheria na kanuni za utumishi wa umma huku akiwasisitiza kutekeleza majukumu yao kwa weledi.
Ameyasema hayo le...
Posted on: November 22nd, 2025
'Tunatoa pole kwa wanafunzi wote waliopata changamoto ya kuungua mabweni yao kidato cha kwanza na kidato cha tatu, Serikali kupitia vyombo vyake vya usalama inaendelea kuchunguza chanzo cha moto"
...