Posted on: October 11th, 2024
Wananchi wilayani Kwimba wameishukuru Serikali kwa mradi wa ujenzi wa miundombinu ya madarasa 10 na ofisi 4 za walimu katika shule ya sekondari Ngudu ambapo wamesema miundombinu hiyo imesaidi...
Posted on: October 11th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija amepokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi, leo 11 Oktoba 2024.
Mwenge utakimbizwa kilomita 81 n...
Posted on: October 8th, 2024
Wasimamizi wa uandikishaki wa orodha ya wapiga kura kwaajili ya Uchaguzi wa Serikali za mitaa wapewa mafunzo huku wakisisitizwa kuzingatia taratibu, sheria na kanuni za utumishi wa umma
" ...