Posted on: March 19th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Senyi S. Ngaga amesaini kitabu cha maombolezo ya Kitaifa ya Kifo cha Hayati Mhe. Dkt.JohnPombe Magufuli leo tarehe 19/03/2021 katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya.
Aidha amew...
Posted on: March 17th, 2021
Wananchi wa Wilaya ya Kwimba wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa mpendwa wetu Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli ambao umetokea tarehe 17/03/2021 Dar es salaam. Wakiongea kwa nyakati tofauti...
Posted on: March 7th, 2021
Naibu Waziri Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. David Silinde amefanya ziara ya kikazi tarehe 07 /03/2021 Wilayani Kwimba, kukagua ujenzi wa miradi ya EP4R...