Posted on: April 23rd, 2021
Kaya 7836 zanufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini TASAF, ambapo jumla ya Shilingi 362,328,000 zimetolewa. Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imekuwa ikiendelea kupokea Fedha kutoka Serikalini ...
Posted on: April 19th, 2021
Vijana,Wanawake na watu wenye ulemavu wameshauriwa kuwa wabunifu zaidi katika shughuli zao za kiujasiliamari.Haya yamejitokeza wakati Kamati ya Uchumi ya Wilaya ya Kwimba ikifanya ziara ya kukag...
Posted on: April 16th, 2021
Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wameaswa kufanya kazi kwa bidii,uwajibikaji na uadilifu, haya yamejitokeza katika kikao kazi kilichofanyika tarehe 15/04/2021 Shule ya Sekondari &n...