Posted on: January 24th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhandisi Mtemi Msafiri Simeoni ameuomba uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kutambua wajibu wake katika kutekeleza Mradi wa Mama na Mtoto (MnM) unaofadhiliw...
Posted on: January 8th, 2018
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba umefanya ziara ya kutembelea kituo cha Afya cha kutolea huduma Kahangala kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu pamoja na kituo cha afya cha kutolea huduma ...
Posted on: January 5th, 2018
Wadau mbalimbali wa Chama cha Watu Wasioona Kwimba wamefanya kikao cha kimkakati tarehe 3-4/ Januari, 2018 katika ukumbi wa Klasta Kakola. lengo likiwa ni kuendea kutekeleza Mradi wa...