Posted on: March 7th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Johari Samizi jana tarehe 7/3/2022 amekagua miradi ya maji mitatu na kuweka jiwe la msingi katika mradi wa Ng'uliku.
Katika hafla hiyo Mhuu ...
Posted on: March 4th, 2022
Wazazi wa wanafunzi ambao hawajaripoti kidato cha kwanza mpaka leo tarehe 4 March, 2022 watakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na jeshi la police.
Haya yamesemwa na Mkuu ...
Posted on: February 26th, 2022
Katika kuunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imepanda miti 6600 katika maeneo ya Taasisi na maeneo ya watu binafsi. Akiong...