Posted on: January 15th, 2020
Upandikizaji wa samaki katika bwawa la maiga umefanyika chini ya katibu tawala wa wilaya ya kwimba Ndug:Ally Nyakiha kwa niaba ya Mkuu wa wilaya. Katika zoezi hilo katibu tawala aliyekua ameambatana n...
Posted on: December 10th, 2019
Mhe:John Mongela Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amekabidhi ng'ombe 10 kwa jeshi la sungusungu la wilaya ya kwimba kwa niaba ya Rais wa Tanzania.Tukio hili limetokana na zawadi aliyoitoa Mhe Dr. John...
Posted on: December 6th, 2019
Katika ziara Mhe:Jumaa Aweso akiwa ameambatana na Naibu katibu mkuu Eng. Othman Sanga wameweza kutembelea miradi mbalimbali ya maji ikiwemo ujenzi wa tanki la maji Izizimba A, hapo akatatua chan...