Posted on: May 21st, 2020
Kamati ya fedha,uongozi na mipango imefanya ziara katika mgodi wa madini Mhalo tarehe 21,May 2020 ili kuona jinsi mgodi huo unavyofanya kazi na jinsi wananchi wa eneo hilo wanavyoshiriki katika ...
Posted on: May 18th, 2020
Kamati ya Afya,Elimu na Maji imetembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata mbalimbali.Katika kata ya Nyambiti kamati imetembelea shule ya sekondari Tallo na kuona ujenzi wa vyumba viwili vya ...
Posted on: April 15th, 2020
Uandikishaji wa vitambulisho vya mpiga kura awamu ya pili unatarajia kuanza tarehe 17/04/2020- 19/04/2020 wilayani Kwimba.Mwananchi kajiandikishe ili upate haki ya kupiga kura wakati wa uchaguzi mkuu ...