Posted on: February 3rd, 2022
Vikundi 39 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vilivyopatiwa mikopo isiyo na riba inayotokana na mapato ya ndani ya Halmashauri vimepatiwa mafunzo ya kuendeleza miradi yao, elimu ya umuhimu wa ...
Posted on: January 11th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Johari Samizi awataka Walimu Wakuu kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza wote wenye vigezo vya kuanza darasa la kwanza wanaopatikana katika maeneo yao ya k...
Posted on: January 7th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robart Gabriel amepokea madarasa 109 yaliyojengwa kwa bilion 2.18 fedha za UVIKO-19 yakiwa yamekamilika. Akipokea madarasa hayo Mkuu wa Mkoa amewapongeza viongozi...