Posted on: August 7th, 2024
Afisa Elimu Sekondari Mwalimu Emmanuel Katemi amepokea computa 10 kutoka Taasisi ya fedha NMB kwaajili ya shule za Sekondari tano zenye kidato cha tano na sita.
Vifaa ...
Posted on: August 6th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Ng'wilabuzu Ludigija ametoa wito kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuweka Kitengo maalumu cha ufuatiliaji na usimamizi wa dawa ya mifugo kama ilivyo kwa dawa za bina...
Posted on: August 5th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ni miongoni mwa Halmashauri na Taasisi zinazoshiriki maonesho ya wakulima nanenane katika viwanja vya maonesho ya Nyamhongolo Mwanza
...