Posted on: May 13th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe. Johari Samizi amewataka viongozi wa Wilaya hiyo kutilia mkazo ukusanyaji wa mapato ili kuongeza kiwango cha mapato yanayopatikana Wilayani hapo. Mhe. Samizi ameyase...
Posted on: April 29th, 2022
Wanawake wawili wa Kijiji cha Malemve kitongoji cha Mwang'alanga wameuliwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali usiku wa kuamkia leo tarehe 29 Aprili,2022.Akiongea kwa maskitiko Mwenyekiti wa...
Posted on: April 26th, 2022
Wananchi waadhimisha siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo tarehe 26,Aprili 2022 kwa kushiriki uchimbaji wa msingi wa madarasa matatu na matundu sita ya Choo.
Akiongea...