Posted on: May 21st, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija aendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi ambapo leo Mei, 21,2024 amesikiliza kero za wananchi wa Kata ya Mwang'alanga.
...
Posted on: May 21st, 2024
Kamati ya Fedha ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Theleza Lusangija imekagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali, ziara hiyo imefanyika leo Mei ...
Posted on: May 20th, 2024
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hasan ameendelea kutoa hamasa katika michezo na kuboresha miundombinu ya michezo.
Katika kutekeleza hilo Wilaya ya Kwim...