Posted on: December 1st, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema Mhe. Senyi Ngaga amewataka Wananchi wote kushirikiana na Serikali pamoja na mashirika yanayojishughulisha na Afya kuzuia maambukizi Mapya ya virus vya UKIMWI.
...
Posted on: November 28th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. CPA Amos Makalla leo novemba 28, 2023 amezindua Miundombinu ya Kidato cha tano kwenye Shule ya Sekondari Mwamashimba wilayani Kwimba iliyogharimu zaidi ya shilingi...
Posted on: November 28th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. CPA Amos Makalla amemtaka Mkandarasi Kwiyera Interprises Limited kukamilisha ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba kufikia Disemb...