Posted on: September 14th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija akagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi katika Kata ya Sumve, ambapo amekagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya Budushi hapo amesisitiza ...
Posted on: September 8th, 2023
Kampuni ya Mtandao wa simu Vodacom limekabidhi matundu 14 ya vyoo katika Shule ya msingi Mwalujo iliyopo Kata ya Mwamala Wilayani Kwimba.
Akikabidhi Mradi huo Ndugu Agapi...
Posted on: August 28th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba imeendelea kuwapatia motisha watumishi wanaofanya vizuri katika majukumu yao ya kila siku, katika kudhihirisha hilo Halmashauri imewapeleka Mbuga ya wanyama ya Mikumi W...