Posted on: September 19th, 2023
Kamati ya Siasa ya Wilaya ikiongonzwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Mheshimiwa Sabana Salinja wamekagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo miradi ya ...
Posted on: September 14th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mheshimiwa Ng'wilabuzu Ludigija akagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi katika Kata ya Sumve, ambapo amekagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya Budushi hapo amesisitiza ...
Posted on: September 8th, 2023
Kampuni ya Mtandao wa simu Vodacom limekabidhi matundu 14 ya vyoo katika Shule ya msingi Mwalujo iliyopo Kata ya Mwamala Wilayani Kwimba.
Akikabidhi Mradi huo Ndugu Agapi...