Posted on: November 22nd, 2025
'Tunatoa pole kwa wanafunzi wote waliopata changamoto ya kuungua mabweni yao kidato cha kwanza na kidato cha tatu, Serikali kupitia vyombo vyake vya usalama inaendelea kuchunguza chanzo cha moto"
...
Posted on: November 17th, 2025
Idara ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ikionhgozwa na Mkuu wa Idara hiyo Dr. Fredrick Mgarula wamejipanga kuboresha huduma za Afya katika kila Zahanati na Vituo vya Afya.
Katika kute...
Posted on: November 13th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba Mhe.Ng'wilabuzu Ludigija amewataka Maafisa Elimu Msingi na Sekondari kuongeza ufuatiliaji ili kujiridhisha kama wanafunzi wanapewa chakula chenye virutubisho.
Ameyasem...