Posted on: July 23rd, 2021
Naibu Waziri Wizara ya Elimu Mheshimiwa Omary Juma Kipanga amefanya ziara Wilayani Kwimba leo tarehe 23 Julai 2021 kukagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi VETA.
Katika ziara hiyo ...
Posted on: July 7th, 2021
Mpango wa Serikali wa kunusuru kaya maskini umeendelea kunufaisha walengwa wa TASAF Wilayani Kwimba ambapo zaidi ya shilingi milioni 365.1 zimelipwa kwa kaya 7892 mwezi Julai, 2021.
Katika zoezi hi...
Posted on: July 9th, 2021
Mbio maaalum za Mwenge wa Uhuru zinazokimbizwa na Luteni Josephine Paul Mwambashi Mkimbiza Mwenge Kitaifa akiwa na timu ya wakimbiza mwenge sita zimefika Wilaya ya Kwimba leo tarehe 9 Julai 2021...